37 Comments

  1. Kenya huenda ingeokolewa through Baba Raila,ona SASA uongozi usio WA haki jinsi unaleta aibu kwao wenyewe,anyway madharau na chuki haifai hata kama umepata uongozi,mungu yupo anaona,atajibu

  2. Tell Him Kinaga Ubwaga Apeleke Ukabila Mathira, Kenya Niya Kabila Zote πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏβ€οΈβ€οΈπŸ‡°πŸ‡ͺ

  3. Gachagua akitaka kuwa kingpin ya Mount Kenya awachane na cheo cha Kenya akawe kingpin ya wakikuyu na akitaka kuwa Ugavana wa Nairobi ajibadilishe ujabila wake alafu abadilishane na Sakaja awe Gavana Nairobi awachie Sakaja unaibu wa rais. Awache kuangalia kwa meno shenzi mbuzi ya mutu huyo

  4. Double update πŸ˜‚ You can hear what this goons are saying. They have no respect for anybody except Raila. Maandamo is their breakfast, lunch and supper. ODM is a party of hooligans from it's inception. Money buys anything including killing. All the fellows in your video and from their petty threats as directed by the highpriest of DECEITS and political conmanship Raila. Let ODM adherents know that they have no monopoly of violence. Other youths are busy making ends meet while them are idling with useless political undertakings. Layoni tunawajua malengo yenu ya kupora wakati wa vurungu. Don't cheat yourselves that you are most important youths from that community because your demigod Raila. There's nothing special about him ananyamba kama nyinyi🀣🀣🀣🀣🀣

  5. Ruto ni rais🀣🀣
    Huyu ndume wako Raila ni nani!!?

    Raila hapati uzingizi juu ya kukosa hicho Kiti. Wewe double hujui vile Raila anaumia kwa hivyo wewe ni kumbwekabweka tu.

    Hawa vijana ni wa kanairo na ni vyombo vya kulipwa kutimiza malengo ya wanasiasa.

    Jamii ya raila wamefungwa akili na mapepo ya Odingasm. The have no capacity to think beyond Raila. The man talking is from where!?

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*