pole sana shosh lakini kumbukeni wakenya hii serikali hatukuichagua ilijichagua. 90% ya wakenya walisusia uchaguzi n.a. wengine kupoteza maisha Yao n.a. kuumizwa n.a. polisi ili utawala mbaya uendelee. tutazidi kuvuna tulichopanda………..waaaaah
hii serikali tutaonania nao mbingun cucu ameongea Kwa uchungu aky so sad ruto ajipange ataenda home na group yake wametuchosha watatunyonya na damu jaman
Politicians mutalaaniwa na mungu nyinyi…..munaona ni sifa na ushujaa kulala na kuamka kutunga sheria zisizo na faida yoyote….. God is cursing you over there….nyinyi mko na magari na helicopter hamutufikirii sisi wananchi….you have to feel shame on yourselves…ati viongozi seriously??????
I am very happy when i see these kikuyus suffer after they were mocking other kenyans on their 2017 erection lol..anadhururu athomeche wajukuu therekari thaidia
Pole grandmother aki lkn wembe ni ule ule kumira kumira tano tena.
Walaaniwe walai mungu bona turehemu
Makosa sana wazee kuteseka ivi
Sonko alilie wanyonge wawache kutesa wanainchi
Sonko ni gutee
laana hiyo kwa gava
Where is President Uhuru he should hear this
I would like to send shosho 10k for Christmas.. What's her contact? Tuko keep me posted pls.
pole sana shosh lakini kumbukeni wakenya hii serikali hatukuichagua ilijichagua. 90% ya wakenya walisusia uchaguzi n.a. wengine kupoteza maisha Yao n.a. kuumizwa n.a. polisi ili utawala mbaya uendelee. tutazidi kuvuna tulichopanda………..waaaaah
Hiyo ndio matunda ya tano tena warabuni sitatoka acha nikae na stress na salary iko wah Kenya niguteeee.
Tano tena
hii serikali tutaonania nao mbingun cucu ameongea Kwa uchungu aky so sad ruto ajipange ataenda home na group yake wametuchosha watatunyonya na damu jaman
Kenya ni inchi ytu bt inabidi kuwa na 2residence in case kukiwa kama hvi
Politicians mutalaaniwa na mungu nyinyi…..munaona ni sifa na ushujaa kulala na kuamka kutunga sheria zisizo na faida yoyote….. God is cursing you over there….nyinyi mko na magari na helicopter hamutufikirii sisi wananchi….you have to feel shame on yourselves…ati viongozi seriously??????
So sad 😢
very pani at all..Shosh mungu asikie kilo chako pamoja nawakenya wote
Mulichochwa shule ni bure bt nw u can tast it plus vat n deni ya wachinko on top God help da poor Kenyans
Na bado kuna watarukaruka wakisema ruto tena when shall kenya learn da misticks thy do after every 5yrs
Nagoja mvua inyeshe mki tembea
I imagine shinda hii na mvua
Mliwachaguwa nini mnalia sasa,kaburi mlijichimba wenyewe…tembeza kiatu shosho
Those are unforgiving, unforgeting tears,watchout
Grand mother huyo sonko ajibu huyo cucu awache kujiletea shinda nyanya mukongwe na siyo yeye pekee iko wengine what is this.
I am very happy when i see these kikuyus suffer after they were mocking other kenyans on their 2017 erection lol..anadhururu athomeche wajukuu therekari thaidia
Webe ni ure ure🤑🤑🤑.
Soo sad
Ni nyinyi mlichaguana wacheni Uhuru apate usingizi. Ruto atajua Hajui 2022